Picha: Zari ajiandaa na ujio wa mtoto wa pili na Diamond kwa baby shower

siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla.
15046853_609888362551754_3566998501428559872_n
http://sizikitaa.blogspot.com/

http://www.revenuehits.com/lps/v6_1/index.php?ref=@RH@rctazf7i2ifXOZxvfJd9TZzRXiyGyxkcyudQKibhNms
Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa Uganda amefanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.
15057313_1625212534446118_6304123726866677760_n
Rafiki yake Nonhle Ndala ameandika: Zari’s Baby Shower 👶… When a mother of 5 looks breathtakingly beautiful. A few days to go till baby boy arrives and look at her 💁 I mean… She exudes gorgeousness. Congratulations Zari & Simba, we celebrate God’s beautiful gift and blessing today 💙.”
Hizi ni picha zaidi:
15043491_1837149693165110_5385408674401353728_n
15043658_1653810138248010_4856945384221573120_n
15043874_1300159126673015_3998208587972214784_n

0 maoni: