Mbali na muziki na filamu nina biashara nyingine. Mimi nina kampuni
ya madini ambayo ni one of the shareholders inaitwa Afrodium,” ameiambia
Bongo5.
“Most of the time nakuwa niko Dubai sababu kwasababu imebase Dubai,
UK, Venezuela na Kongo kwahiyo most of the time nakuwa niko kule
kwasababu huwezi kutegemea fani moja. Kuna siku nitaacha muziki, sauti
yangu haitatoka vile inavyotakiwa au nitabadilisha aina ya muziki,
siwezi kuimba Bongo Flava all the time.”Hata hivyo Baby amesema atakuja na kazi mpya ya muziki na filamu hivi karibuni
0 maoni: