Video ya ngono ya Osama Bin Laden kutoonyeshwa hadharani – CIA

Mkurugenzi kutoka Shirika la  Ujasusi (CIA) Mike Pompeo, amesema kuwa mkanda walioupata wa ngono wa Osama Bin Laden akiwa nchini Pakistan hautaonyeshwa hadharani na shirika hilo.
Mike amekieleza kituo cha Fox News wiki hii na kusema kuwa nyaraka walizozipata hazitaweza kuonyeshwa hadharani hii ni kwa mujibu wa kesi za kisheria licha ya kuwa wanahaki za kuonya nyaraka hizo.
“We will release all but, there’s some pornography, there’s some copyrighted material. And everything but those items will be released in the weeks ahead,”  amesema Mike wakati wa kuadhimisha miaka 16 ya tukio la  9/11.
Ushahidi uliokamatwa kwa takribani miaka sita wa kiongozi wa kundi la kigaidi la AlQaeda, umekuwa uhifadhiwa kwa siri sana na kuwekwa mbali na jamii kwa muda mrefu.
Pia Mkurungezi huyo akaongeza kuwa hata yeye amekuwa na hamu ya kushiriki kutoa ushahidi huo na watu, ila kutokana na kuwa nyaraka hizo ni za siri hatao weza kufanya hivyo.
“I want to get these documents out. Once we are sure there’s not classified material and once we are sure there’s not things that we can’t release. I want to make sure that the world gets to see them,” amesisitiza Mike.
Vile vile Mike akasema “Al Qaeda still posed a threat to the US and that his agents are still hunting its leaders. Among them is Hamza Bin Laden, Osama’s son who, it is feared, is being groomed to spearhead the terror group through a resurgence. Intelligence suggests that Hamza is now around 24.”
Mkurugenzi huyo akaongeza kuwa bado hawajafahamu alipo Hamza mtoto wa Osama tangu baba yake alipouwawa ila bado wanamtafuta.

0 maoni: