Miili ya Watu 13 wa familia moja waliofariki katika ajali ya gari
iliyotokea Uganda baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutoka kwenye
sherehe ya harusi kugongana na lori imefikishwa Tanzania na kupokelewa
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
0 maoni: