Umesikia habari za ikulu ya Madale kufuka moshi? Sahau kuhusu Hamisa
Mobetto na wengine, mshindi wa BBA mwaka 2013 (The Chase) Dillish
Mathews ndio habari ya mjini kwa sasa. Mrembo huyo ambaye ni raia wa
nchini Namibia anadaiwa kuuingilia utamu wa Zari The Bosslady kwa kuwa
na mahusiano ya kimapenzi na Diamond. Mfahamu zaidi malkia huyo kwa
picha hizi hapa chini.
0 maoni: