
Kajala Masanja
Wasanii hao wamekutanishwa na wanafunzi kupitia kampeni ya ‘Ready To Work’ ambayo inaendeshwa na Benki ya Barclays Tanzania ikiwa na lengo la kuwawezesha vijana hususani wanafunzi ambao wana matarajio ya ajira, kujiandaa vizuri kuingia kwenye soko la ajira.
Katika tukio hilo ambalo lilikuwa likirushwa LIVE kupitia Wanafunzi hao wamepata fursa ya kuwauliza wasanii hao maswali, na wao kuwajibu huku wakieza safari ya mafanikio.
Baadhi ya wasanii waliofika ni pamoja na Kajala Msanja, Daudi Michael, Lady Jay Dee, Feza Kessy, Shetta, Meya Shabani, Khadija Ally, Man Fizo, Racheal Bituro, Ruky Beiby.

Lady Jay Dee

Afisa masoko wa Barclays Joe Bendela







0 maoni: