Wote kwa pamoja, Jumatano hii wamepost picha hiyo juu kwenye akaunti za Instagram bila kuandika chochote.
Tetesi za wawili kuwa na uhusiano zilianza kuvuma baada ya hivi karibuni Drake kuonekana kwenye show mbili za J.Lo jijini Las Vegas na kupiga picha zenye ukaribu zaidi. Rihanna amedaiwa kum-unfollow Jennifer kwenye Instagram.