Ni muda mrefu Nicki Minaj na Drake hawajaonekana katika picha ya pamoja.

Ni takribani miaka miwili wawili hawa hawajaonekana pamoja huku ikichangiwa na bifu la Drake na ex wa zamani wa Nicki, Meek Mill. Jumatano hii wawili hao wameonekana katika picha ya pamoja wakiwa na rapper Lil Wayne.

“#TheBIG3 #YoungMoney 🎀 ~ 📸,” ameandika Minaj katika moja ya picha alizoaiweka katika mtandao wa