Video: P Zone MC ft Suma Rider – Nipo Nawe {watch} Posted By: Baraka Msanii wa muziki wa hip hop, P Zone MC ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nipo Nawe’ akiwa amemshirikisha Suma Rider. Audio imeandaliwa na Science Music na video imeongozwa na director Japheth. Tweet Share Share Share Share