Darassa ameufunga mwaka 2016 na kuingia mwaka 2017 kwa kishindo. Muziki
bado unaendelea kuwa wimbo wa taifa. Wimbo huo unapendwa na kila mtu,
kuanzia vijana, watoto, wazee, wanaume na wanawake. Mcheki dogo huyu
aitwaye Chris ambaye amekuwa kivutio Instagram akirap wimbo huo na
Darassa.