Music: Seyi Shay – Yolo Yolo Posted By: Baraka Msanii kutoka Nigeria Mwanadada Seyi Shay ambaye alifanya vizuri na ngoma kama ‘Right Now’, ‘Crazy’ ambayo alimshirikisha mtu mzima Wizkid. Ameachia goma yake mpya inaitwa “Yolo Yolo”. Tweet Share Share Share Share