Miss Universe Tanzania 2016, Jihan Dimack ametua jijini Millan,
Ufilipino alikoenda kushiriki kwenye fainali za shindano hilo
litakalofanyika kwa awamu ya 65. Fainali zitafanyika January 30.

Jihan atachuana na washiriki wengine takriban 80 kutoka nchi zingine duniani. Wiki hii alikabidhiwa bendera ya taifa kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano hilo.
Mshereheshaji wa shindano hilo ni Steve Harvey pamoja na mlimbwende Ashley Graham. Mwaka jana taji lilichukuliwa na mrembo wa Ufilipino, Pia Wurtzbach.