New Video: Kebby Boy – Sina Lawama

Msanii wa Burundi, Kebby Boy ameachia video ya wimbo wake ‘Sina Lawama’ uliotayarishwa na producer Lizer Classic wa WASAFI RECORDS.