New Video: Junior De Rocka f/ Maraza & Golden Black – Been Thinking

Hii ni video ya wimbo wa msanii Junior De Rocka f/ Maraza & Golden Black – Been Thinking unaofanya vizuri nchini Afrika Kusini. Video imeongozwa na Mtanzania, Director Ray.