Music: Skales ft Burna Boy – Temper (Remix) Posted By: Anonymous Msanii Skales kutoka Nigeria, ambaye alifanya vizuri na ngoma yake ya “Shake Body”, hivi karibuni aliachia original version ya ngoma ya Temper ameona aachie na hii remix ambayo amemshirikisha Burna Boy. Tweet Share Share Share Share