DOWNLOAD HAPA
Wasanii Nuruel,Blad Key (Vinapanda bei)Baba rhino & Shampain,
wameamua kutumia vipaji vyao ili kuujulisha umma kwa lile janga la
TETEMEKO LA ARDHI lililotokea BUKOBA wameandaa wimbo huu unaitwa “Maafa
Bukoba”. Producer Jero Tati, Studio Dreams Records.