DOWNLOAD HAPA
Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja bila ya kuachia wimbo mpya,
muimbaji wa Nigeria, Davido ameachia wimbo wake mpya ‘Gbagbe Oshi’ ambao
utapatikana kwenye albamu yake ya ‘Son of Mercy’ inayotarajiwa kuanza
kupatika kwa pre order Ijumaa hii. Sikiliza hapa chini.